RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Maandamano ya Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika Maandamano ya Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania, wakati wa hafla ya hayo yaliofanyika katika uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar 25-11-2021.