Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia Mkono Wananchi wakati alipoingia katika Uwanja wa Amaan Studium Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia Mkono Wananchi wakati alipoingia katika Uwanja wa Amaan Studium katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 58 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.