RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji wa Kampuni ya Sukari Kilombero ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji wa Kampuni ya Sukari Kilombero ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Balozi Ami Mpungwe na Bw.Gavid Galgeleish, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.