Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, akitowa taarifa ya Serikali kuhusiana na Kampuni ya Masterlife Microfinance Ltd, iliyokuwa ikiendesha shughuli za kifedha ikiwemo kupokea amana na kutoa mikopo kinyume cha Sheria na taratibu za Nchi, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar