RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.