Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wakuu (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wakuu (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango, na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa wamesimama wakipiga makofi baada ya kumaliza kuhutubia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma