Uteuzi 03

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua  Ndugu Said Seif Said kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Serikali Mtandao Zanzibar (E-Government).

Uteuzi huo unaanza leo tarehe 31 Mei,2021

Download File: