Uteuzi 02

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi katika Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo kama ifuatavyo:-
1. Dkt.Saleh Yussuf Mnemo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la
   Zanzibar (ZBC)
2. Ngugu NasriyaMohammed Nassor ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara Utumishi na Uendeshaji
3. Ndugu Khamis Siasa Khamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango,Sera na    
   Utafiti.
4. Ndugu Shaib Ibrahim Moh'd ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana.
5. Ndugu Salum Issa Ameir ameteuliwa kuwa Katibu Mtendaji wa baraza la Vijana.
6. Ndugu Hassan Khatib Hassan ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo.
7. Ndugu Ameir Moh'd Makame ameteuliwa kuwa Kamishna wa Idara ya Michezo.

Download File: