Taarifa kwa vyombo vya Habari.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa masikitiko makubwa amepokea taarifa za kufariki dunia kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,marehemu Elias John Kwandika aliyefariki dunia usiku wa Jumatatu tarehe 2 Agosti 2021 Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akitibiwa kwa takribani siku kumi na nne.

Download File: