Uteuzi 01

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Vifungu Namba 50(5) - (4) na 53 vya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 na Kifungu cha 6(2) cha Sheria ya Viapo Namba 1 ya mwaka 1986,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewateua wafuatao kuwa Makatibu Wakuu,Naibu Makatibu Wakuu,Naibu Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee na Watoto katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Download File: