Uteuzi 04

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua ndugu Mwanaisha Alli Said kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba

.

Uteuzi huo unaanza leo tarehe 01 Juni 2021

Download File: