Uteuzi wa Makatibu Wakuu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Makatibu Wakuu kama ifuatavyo:-
1. Dkt.Fatma Mrisho ameteuliw kuwa Katibu Mkuu,Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na 
    Watoto.
2. Ndugu Khadija Khamis Rajab ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu,Anaeshughulikia Masuala ya (Kazi na 
    Uwezeshaji) Katika Ofisi ya Rais,Kazi,Uchumi na Uwekezaji.
3. Dkt.Habiba Hassan Omar ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu,Anaeshughulikia Masuala ya (Uchumi na 
    Uwekezaji) Katika Ofisi ya Rais,Kazi Uchumi na Uwekezaji.
4. Dkt.Omar Dadi Shajak ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu,Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais.

Uteuzi huo umeanza leo tarehe 30 Julai,2021
Aidha,Wateuliwa wote waliotajwa wataapishwa siku ya Jumatatu tarehe 02 Agosti,2021 Saa 4:00 Asubuhi - Ikulu Zanzibar.

Download File: