Uteuzi mpya wa Mawaziri na Manaibu Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 08 Machi,2022 amefanya mabadiliko katika Baraza la Mapinduzi kwa kuigawa iliyokuwa Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto kuwa Wizara mbili na kuwabadilisha Wizara baadhi ya Mawaziri.Aidha Mhe.Rais pia amewateua Mawaziri wapya wanne na Naibu Mawaziri wapya saba.Kufuatia mabadiliko hayo,Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hivi sasa itakuwa na Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:-


1. OFISI YA RAIS
   i. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais - Ikulu
      Mhe:Jamali Kassim Ali.Kabla ya uteuzi huo Mhe.Jamal alikuuwa Waziri wa    
      Nchi,Ofisi ya Fedha na Mipango

Download File: