Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi,Wakurugenzi na Katibu wa Kamisheni ya Utumishi

TAARIFA KWA VYOMBO HABARI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi,Wakurugenzi mbali mbali na Katibu wa Kamisheni ya Utumishi kama ifuatavyo:-

1. Kanal Mstaafu Said Ali Hamad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Ulinzi 

    wa JKU.

2. Ndugu Siyajabu Suleiman Pandu ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Uratibu wa Shughuli 

    za Serikali Katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais.

3. Ndugu Khalid Bakar Hamran ameteuliwa kuwa Mratibu Mkuu wa Afisi ya Uratibu wa 

   Shughuli za SMZ - Dodoma Katika Ofisi ya Makamu wa PIli wa Rais.

Inaendelea chini katika attachment husika ya PDF...

Download File: