Uteuzi ZRB

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua NDUGU YUSUPH JUMA MWENDA kuwa KAMISHNA WA BODI YA MAPATO ZANZIBAR (ZRB). Kabla ya Uteuzi huo ndugu Yusuph Juma Mwenda alikuwa mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Uteuzi huo unaanzia leo tarehe 01 Machi,2022

Download File: