Uteuzi 05

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amemteua Bibi Saade Said Mbarouk kuwa mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar.

Uteuzi huo umeanza tarehe 04 Juni 2021

Download File: