Toggle navigation
Leave this field blank
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar
Mwanzo
Ofisi ya Rais
Kwa Ufupi
Dira & Dhamira
Rais
Marais wa Zamani
Utawala
Baraza la Mapinduzi
Uongozi Ofisi ya Rais
Habari
Habari na Matukio
Picha
Video
Video 2
Machapisho
Hotuba
Mipango ya Utekelezaji
Machapisho
Ripoti
Bajeti
Blog
Mawasiliano
Ikulu
State House Zanzibar
State House Zanzibar
Habari
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa “Bachelor Degree of Science Biology and Chemistry” Aisha Said Ali, wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, mahafali hayo yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Habari
News and Events
Habari
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Imamu Mkuu wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Sheikh. Salum Hemed Salum, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025
Habari
News and Events
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk , Hussein Ali Mwinyi akiwa katika gari la wazi akiwasalimia wananchi waliofika kumpokea kando kando mwa barabara ya kutokea Uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar akitokea Jijini dodoma ambapo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya Chama cha mapinduzi kwa upande wa Zanzibar.
Habari
News and Events
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe mama Mariam Mwinyi baada ya kushiriki Mkutano Mkuu Maalum wa CCM , uliofungwa rasmi na Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassan leo tarehe 19 Januari 2025 katika Ukumbi wa Mkutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
Rais
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Sema na Rais
Habari na Matukio
Dkt,Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Mazishi ya Marehemu Muhammad Ibrahim Sanya yaliofanyika
22 Apr 2025
by Ikulu Staff
Vyuo Vikuu Vijikite katika Tafiti zenye tija kwa Jamii.
25 Jan 2025
by Ikulu Staff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa “Bachelor Degree of Science Biology and Chemistry” Aisha Said Ali, wakati wa hafl
25 Jan 2025
by Ikulu Staff
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amewashukuru wasanii wote kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi tangu ameingia madarakani
24 Jan 2025
by Ikulu Staff
More Habari na Matukio
Video
Facebook
Machapisho
Hotuba ya maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Tarehe: 11 Januari, 2025
11 Jan 2025
Hotuba ya Mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi, Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mjini Magharibi.
19 Apr 2024
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi katika uzinduzi wa Duru ya kwanza ya Utoaji wa Vitalu kwa Kampuni kwa Maeneo ya Baharini
20 Mar 2024
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi
21 Feb 2024
English
Swahili