Serikali ya awamu ya Nane kuendelea kuwekeza katika Elimu Bora na Ujuzi kwa Vijana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifungua Kipazia kuashiria uwekaji wa Mawe ya msingi leo tarehe 16 Novemba 2026, katika Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi
Watendaji wa Serikali pamoja na Makamanda wa Vikosi vya SMZ na SMT wakitoa heshima wakati ukiimbwa wimbo wa Taifa la Tanzania kwenye uwekeji wa mawe ya msingi kwa Karakana mbili za ufundi huko Mbweni pamoja na Skuli ya Msingi Chumbuni.
Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi Mtopepo wakiimba wimbo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi wakati alipoenda kuweka jiwe la msingi ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akiwa amefuatana na Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Ndugu Lela Mohamed Mussa, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib pamoja na Wawakilishi wa Taasisi ya Zayed na Ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini Tanzania wakati akiweka mawe ya msingi ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali akizungumza na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi wakati akiweka mawe ya msingi ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi. 

Muonekano wa juu wa Skuli ya Mtopepo Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa KISTwakati akiweka mawe ya msingi ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwasili skuli ya Mtopepo wakati akiweka mawe ya msingi ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali baada ya kuwasili katika Skuli ya msingi ya Mtopepo wakati akiweka mawe ya msingi ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akisalimiana na wanafunzi wa Maandalizi na Msingi ya Mtopepo baada ya kuweka mawe ya msingi ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Taasisi ya Zayed na Ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali katika kuimarisha sekta ya elimu Zanzibar.
Wananchi pamoja na Viongozi mbali mbali wa Serikali wakiwa katika uwekaji wa uwekaji wa mawe ya msingi ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mwinyi Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa KIST juu ya matumizi wa Mtambo ulioko mbele yake juu ya unavyofanya kazi wakati akiweka mawe ya msingi ya ujenzi wa Skuli ya Msingi Mtopepo na karakana nne za kisasa za uhandisi katika Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST), Mkoa wa Mjini Magharibi.
Nasa yaipongeza Zanzibar kwa Uzinduzi wa Zass.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akimkabizi Cheti miongoni mwa Vijana wanaojifunza sayansi ya anga kwa vitendo mara baada ya ufunguzi wa Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwaangalia Vijana ambao wanaojifunza sayansi ya anga kwa vitendo mara baada ya ufunguzi wa Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikata Utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS), Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kwa Mkufunzi ambae anafundisha Vijana wanaojifunza sayansi ya anga kwa vitendo katika Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi,akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa Chama na Serikali mara baada ya kuwasili katika Kituo cha Sayansi ya Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kwa Mkufunzi ambae anafundisha Vijana wanaojifunza sayansi ya anga kwa vitendo katika Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kwa Mkufunzi ambae anafundisha Vijana wanaojifunza sayansi ya anga kwa vitendo katika Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kwa Mkufunzi ambae anafundisha Vijana wanaojifunza sayansi ya anga kwa vitendo katika Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipokifungua Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) na kuzindua Mradi wa Zanzibar Observatory and Planetarium, Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Kituo cha Sayansi ya Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kwa Mkufunzi ambae anafundisha Vijana wanaojifunza sayansi ya anga kwa vitendo katika Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwakabidhi Cheti Vijana wanaojifunza sayansi ya anga kwa vitendo mara baada ya ufunguzi wa Kituo cha Elimu ya Anga cha Zanzibar Astronomy and Space Society (ZASS) iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 14 Novemba, 2026.
Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika Ibada ya Sala ya Ijumaa Fuoni Chunga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Abrar, baada ya kujumuika na Waumini wa Kiisilam sala hiyo ilisaliwa Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar akitoa mawaidha baada ya kukamilika kwa sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Abrar,uliopo Fuoni Chunga Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi alihudhuria.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa serikali pamoja na wa dini wakiomba dua baada ya kumalizika kwa sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Abrar, ulio[po Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Fuoni Chunga baada ya kujumuika na waumini wa Dini ya Kiisilam katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Msikiti wa Al Abrar, Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali pamoja na wa Dini ya kiislam baada ya kuwasili katika Msikiti wa Al Abrar, ulio[po Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kwa ajili ya Sala ya Ijumaa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitoa salamu zake baada ya kumalizika kwa Ibada ya sala ya ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Al Abrar, ulio[po Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Fuoni Chunga baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Abrar, uliopo Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Kijiji cha Fuoni Chunga baada ya kujumuika na waumini wa Dini ya Kiisilam katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Msikiti wa Al Abrar, Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini wa dini ya Kiisilam baada ya kumalizika kwa Ibada ya sala ya Ijumaa ambapo Mheshimiwa Rais alisali katika Msikiti wa Al Abrar, uliopo Fuoni Chunga, Wilaya ya Magharib "B" Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amelizindua baraza la Wawakilishi leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea salamu ya Heshima kutoka kwa Jeshi la Polisi wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja vya chukwani mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja baina ya Mheshimiwa Jaji mkuu wa Zanzibar Mheshimiwa Ramadhan Abdalla Shaaban pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid katika viwanja vya Baraza hilo leo tarehe 10 Octoba, 2025
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza la Wawakilishi leo tarehe 10 Octoba, 2025 katika Ukumbi wa baraza hilo Chukwani Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Mama Mariyam Mwinyi akiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kushiriki katika uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi baada ya kufanyika Uchaguzi wa Octoba 2025 na kupelekea kuundwa kwa Baraza jipya la Uwakilishi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza jipya la Uwakilishi kufuatia kufanyika kwa uchaguzi mpya wa Octoba 2025 na kupatikaniwa kwa wajumbe wapya wa Baraza hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikagua Gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Zanzibar kabla ya kulizindua Baraza jipya la Wawakishi leo Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akilihutubia Baraza jipya la Uwakilishi kufuatia kufanyika kwa uchaguzi mpya wa Octoba 2025 na kupatikaniwa kwa wajumbe wapya wa Baraza hilo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja wa Baraza hilo hapo chukwani Zanzibar wakati Mheshimiwa rais alipokwenda kulizindua Baraza hilo leo tarehe 10 Octoba, 2025.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akipokea salamu ya Heshima kutoka kwa Jeshi la Polisi wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi katika viwanja vya chukwani mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja baina ya Mheshimiwa Jaji mkuu wa Zanzibar Mheshimiwa Ramadhan Abdalla Shaaban pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid katika viwanja vya Baraza hilo leo tarehe 10 Octoba, 2025 
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amechukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa CCM katika kuitikia dua kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza ka Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume alipofika katika viwanja vya kaburi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
VIJANA wa UVCCM wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuchukua fomu ya Urais Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Cha Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wananchi na kuwasalimia akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipita katika mitaa ya michezani akielekea Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akitokea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
VIJANA Stronger With Mwinyi wakihasasisha wakati wa Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuchukuwa Fomu Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Joseph Kazi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Cha Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wananchi na kuwasalimia akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipita katika mitaa ya michezani akielekea Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akitokea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha mkoba wake ukiwa na Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea Urais leo 30-8-2025 katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Joseph Kazi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina akizungumza na kutowa maelezo wakati wa zoezi la kukabidhi Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar, kwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar
VIJANA wa UVCCM wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuchukua fomu ya Urais Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
VIJANA Stronger With Mwinyi wakihasasisha wakati wa Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuchukuwa Fomu Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
VIJANA madereva wa Bodaboda Zanzibar wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025.