Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kubadili mfumo wa maisha kwa kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa mbalimbali yasioambukiza ukiwemo ugonjwa wa moyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kubadili mfumo wa maisha kwa kufanya mazoezi ili kujikinga na magonjwa mbalimbali yasioambukiza…
Soma Zaidi