Habari

Miundombinu ni nguzo ya maendeleo ya Kiuchumi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameifungua rasmi Barabara ya Kitope–Ndagaa–Kidimni na kusisitiza kuwa ujenzi wa miundombinu ya barabara…

Soma Zaidi

Dk. Rais Mwinyi amewasisitiza Wananchi kushirikiana na Serikali katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Wananchi kushirikiana na Serikali ili kuhakikisha mipango na miradi ya maendeleo inatekelezwa…

Soma Zaidi

Zanzibar kuwa Kitovu cha Utalii wa Michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya michezo kwa lengo la kuifanya…

Soma Zaidi

Rais Dkt. Mwinyi amefungua nyumba za Wafanyakazi katika Hospitali ya Kitogani, na kuagiza ZHC kusimamie ujenzi wa makaazi ya Watumishi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema lengo la Serikali ni kuimarisha na kuongeza ubora wa huduma za afya kwa wananchi katika maeneo…

Soma Zaidi