SMZ imedhamiria kuboresha huduma za Afya kwa Wananchi wote

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha kila Mwananchi anapata huduma bora za afya katika kila ngazi ya…

Soma Zaidi

Dkt. Mwinyi amehitimisha Kampeni za CCM Zanzibar na kuainisha Sekta 11 za Kipaumbele kwa Awamu Ijayo

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amehitimisha rasmi…

Soma Zaidi

Dkt Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi Ulinzi wa Uhakika siku ya Uchaguzi

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi Ulinzi wa Uhakika siku ya Uchaguzi na…

Soma Zaidi

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi ulinzi wa uhakika siku ya uchaguzi Mkuu ujao.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi ulinzi wa uhakika siku ya uchaguzi…

Soma Zaidi

Rais Dkt. Mwinyi amesisitiza uzalendo na uwazi katika Utumishi wa Umma

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza Watumishi wa Umma kuendelea kufanya kazi kwa uzalendo, uwajibikaji na uadilifu, kwa kuzingatia…

Soma Zaidi

Zainzibar imejiandaa vema kwa Uchaguzi na utakuwa Huru wa Uwazi ,Usalama na haki

Rais wa Zanzibar na Mwenyekit wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ame wahakikishia Waangalizi wa Uchaguzi wa Umoja wa Afrika kuwa Zainzibar imejiandaa vema kwa Uchaguzi na utakuwa Huru…

Soma Zaidi