Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023, Serikali itaongeza mshahara kwa kutumia utaratibu wa kuwapanga watumishi katika madaraja na vyeo kwa mujibu wa miundo ya utumishi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023, Serikali itaongeza mshahara kwa kutumia utaratibu wa kuwapanga watumishi katika…
Soma Zaidi