Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unatimiza miaka 58 bado unaendelea kuimarika kwa kiasi kikubwa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa unatimiza miaka 58 bado…
Soma Zaidi