Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waislamu kuendelea kuhamasishana kushiriki katika mashindano mbali mbali ya Quraan katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waislamu kuendelea kuhamasishana kushiriki katika mashindano mbali mbali ya Quraan katika mwezi huu…
Soma Zaidi