Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Assa Ahmad Rashid pamoja na Abdalla Mzee Abdalla…
Soma Zaidi