Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi wa Shehiya ya Kiongwe kuwa Barabara ya Bumbwini - Kiongwe, itajengwa kwa kiwango cha lami

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi wa Shehiya ya Kiongwe kuwa Barabara ya Bumbwini - Kiongwe, itajengwa kwa kiwango cha lami…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi,amesema Serikali inatambua kuwepo kwa mgogoro wa ardhi unaowahusisha wananchi wa shehiya ya Ubago dhidi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania,kambi ya Ubago.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inatambua kuwepo kwa mgogoro wa ardhi unaowahusisha wananchi wa shehiya ya Ubago dhidi ya Jeshi…

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha inavipatia maji safi na salama Vitongoji sita vilivyomo katika Shehiya za Muungoni na Kitogani.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameutaka Uongozi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha inavipatia maji safi na salama Vitongoji sita vilivyomo…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi Jumamosi (Julai 03,2021) anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya wiki moja katika mikoa mitatu ya Unguja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi kesho Jumamosi (Julai 03,2021) anatarajia kuanza ziara ya kikazi ya wiki moja katika mikoa mitatu ya Unguja.

Soma Zaidi

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameunga mkono mashirikiano kati ya Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa baraka zake na kuunga mkono mashirikiano yanayoimarishwa kati ya Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA)…

Soma Zaidi