Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Uongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameuhakikishia uongozi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea…

Soma Zaidi

Maisha ya Marehemu Dk,John Pombe Magufuli yalikuwa ni darasa tosha kwa viongozi na Watanzania wote juu ya namna wanavyotakiwa kuishi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa maisha ya Marehemu Dk, John Pombe Magufuli yalikuwa ni darasa tosha kwa viongozi na Watanzania wote juu…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa kuhurumiana

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba mwezi mtukufu wa Ramadhani ni mwezi wa kuhurumiana ikiwa ni pamoja na kuwasaidia wanyonge wakiwemo…

Soma Zaidi

Dk.Mwinyi ameupongeza uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Zanzibar na Oman

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameupongeza uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Zanzibar na Oman na kueleza haja ya kuongeza ushirikiano…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea ujenzi wa jengo jipya la Abira (Terminal III) Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema ujenzi wa jengo jipya la Abira (Terminal III), katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume…

Soma Zaidi