Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania Mhe: Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya Hayati Dk. John Pombe Magufuli

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Jeshi la Tanzania (JWTZ), Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya Hayati Dk. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amesaini vitabu vya maombolezo ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amesaini vitabu vya maombolezo ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Marehemu Dk. John Pombe Magufuli…

Soma Zaidi