Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi funguo Bibi.Miza Haji Juma akiwa ni miongoni mwa Wananchi watakaoishi katika Nyumba za Makaazi za Kijiji Kipya Dundua Bumbwini Wilaya ya Kaskazini

UFUNGUZI WA NYUMBA ZA MAKAAZI DUNDUA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema suala la umiliki wa ardhi hapa Zanzibar lilitokana na tamko la Rais wa kwanza wa Zanzibar, Marehemu Abeid…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifuatilia risala ya Wasanii wa Vikundi Tisa vya Taarab Zanzibar, ikisomwa na Mwakilishi wa vikundi hivyo wakati wa Taarab rasmin aliyoandaliwa ya kumpongeza na kumuaga iliof

DK.SHEIN AMEPONGEZWA NA VIKUNDI VYA TAARAB VYA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein jana alikuwa mgeni rasmi katika taarab maalum iliyoandaliwa na vikundi mbali mbali vya Taarab vya hapa Zanzibar kwa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipokuwa akizungumza na Wananchi kupitia vyombo vya  Habari wa Vyombo mbali mbali vya serikali na Binafsi,kuhusu matokeo ya Utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar hafla

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA WAANDISHI KUTOKA VYOMBO MBALI MBALI VYA HABARI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema Serikali inalenga kuhakikisha faida zitokanazo na rasilimali ya Mafuta na Gesi asilia zinachangia katika ukuaji…

Soma Zaidi

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM DOLE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakumbusha wananchi wa Zanzibar umuhimu wa kulinda na kuyaendeleza Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, kwa kuwa…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) katika sherehe maalum ya mafanikio ya miaka 10 ya Uongozi

DK.SHEIN AMEAGANA NA WATENDAJI ALIOWATEUA KATIKA NYADHIFA MBALI MBALI SERIKALINI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameagana na Watendaji aliowateua katika nyadhifa mbali mbali Serikalini na kusema kwamba hafla hiyo ni kielelezo cha…

Soma Zaidi
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na WanaCCM wa Mkoa wa Kusini Pemba katika viwanja vya Kiwani Wilaya ya Mkoani katika mkut

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM KIWANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesema CCM imewaletea wananchi wa Zanzibar kiongozi mchapakazi katika nafasi ya Urais wa Zanzibar ili maendeleo yazidi…

Soma Zaidi

Dk.Shen amewataka wafanyakazi wa ORMBLM kufanya kazi kwa bidii na ari ya utendaji.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapainduzi Dk. Ali Mohamed Shen amewataka wafanyakazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Pemba, kufanya kazi kwa bidii na kuongeza…

Soma Zaidi

DK. SHEIN AMEWAAGA WANANCHI WA MIKOA MITANO YA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewaaga wananchi wa Zanzibar na kuwaambia kuwa Awamu ya Saba imefanya mambo mengi huku akisema kuwa anawaachia zawadi…

Soma Zaidi