Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazi la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya Ufunguzi wa Barabara ya Ole-Kengeja Mkoa wa Kusini Pemba ilioyojengwa na Wakala wa Barabara (ZANROAD).

UFUNGUZI WA BARABARA YA OLE - KENGEJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa barabara zinafungua milango na kuleta manufaa katika ukuaji na maendeleo ya uchumi na kijamii.

Soma Zaidi
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe DK.Ali Mohamed Shein, akihutubia katika mkutano wa kampeni ya CCM ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi.

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM MICHEWENI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wananchi wa Wilaya Micheweni na Wazanzibari kwa ujumla, kuwachagua wagombea kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM),…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kitamba akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Chuo Cha Amali Daya mtambwe.

UFUNGUZI WA CHUO CHA AMALI DAYA MTAMBWE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuzinduliwa kwa Chuo cha Amali cha Daya Mtambwe na kile cha Kisongoni Makunduchi ni fursa ya pekee ya…

Soma Zaidi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akikata utepe kuashiria  Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge   Wilaya ya Kaskazini

UZINDUZI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA KIVUNGE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka madaktari na wauguzi pamoja na watoa huduma za afya hapa nchini kuipenda kazi yao, kuwa na huruma, kuwa wastahamilivu…

Soma Zaidi

UZINDUZI WA NYUMBA ZA MJI MPYA WA KWAHANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema ujenzi wa nyumba za Mji mpya wa Kwahani, umeakisi dhamira ya chama cha Afro Shirazi (ASP) katika kuwapatia…

Soma Zaidi
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia na kumuombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi kwa Wananchi wa

MKUTANO WA CCM CHWAKA.

MAKAMO Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein alisisitiza haja ya kumpa kura nyingi Dk. Mwinyi ili aendelee…

Soma Zaidi

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI YA DK. JOHN POMBE MAGUFULI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wazee kuendelea kusimamia malezi ya watoto wao, wakati huu vitendo vya Unyanyasaji wa kijinsia vikiwa vimeshamiri…

Soma Zaidi

Dk Shein amezindua kitabu cha Mwalimu bora wa Soka

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amezindua kitabu cha “Mwalimu bora wa Soka’ na kusema kuwa kitabu hicho ni chuo kwa wachezaji wa mpira wa miguu…

Soma Zaidi