Dk.Shein amemtumia pongezi Rais wa Jamhuri ya Watu wa India kwa kuadhimisha miaka 74 ya Taifa hilo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Watu wa India Shri Ram Kovind kwa kuadhimisha miaka 74 tokea Taifa hilo…

Soma Zaidi

MKOA WA MJINI MAGHARIBI UMETAKIWA KUHAKIKISHA JIJI LA ZANZIBAR KUWA SAFI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameueleza uongozi wa Mkoa wa Mijini Magharibi pamoja na Manispaa yake kuhakikisha mji wa Zanzibar unakuwa safi kwani…

Soma Zaidi

Dk.Shein amewapongeza Viongozi na Watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa kazi nzuri.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza Uongozi na watendaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kwa kazi nzuri waliyofanya katika kipindi cha…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameutaka Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo kuongeza kasi ya Majukumu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka Uongozi na watendaji wa Wizara ya Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuongeza kasi katika kipindi hiki kifupi…

Soma Zaidi

Dk.Shein amesisitiza Ujenzi wa Hospitali mpya ya Binguni uko pale pale

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza kwamba uwamuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wa mradi wa Ujenzi wa Hospitali mpya ya Binguni uko…

Soma Zaidi

Dk.Shein amewataka Vijana kutojiingiza katika vitendo vinavyoweza kuvunja amani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka baadhi ya watu wakiwemo vijana kutojiingiza katika vitendo vinavyoweza kuvunja amani na utulivu nchini kwa…

Soma Zaidi