RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Kitaifa la Utawala Bora na Siku ya Maadili na Haki za Binadamu.

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINAADAMU.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Saba imefanya bidii kubwa kuhakikisha misingi ya utawala bora inafuatwa ili kukuza uchumi na kujenga jamii yenye imani, upendo na mshikamano baina yao,…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania.

DK.SHEIN AMEFUNGUA KONGAMANO LA SITA LA DIASPORA TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameahidi kwamba atahakikisha anapomaliza muda wake wa Urais suala la Diaspora limeshakaa sawa kimkakati, kisera pamoja…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEFUNGA SEMINA YA NEC.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kasi ya ukuaji uchumi wa Zanzibar imeongezeka na kufikia wastani…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEZINDUA NYUMBA YA MKUU WA MKOA WA MWANZA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amezindua nyumba ya makaazi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na kupongeza juhudi kubwa zilizochukuliwa katika ujenzi wa…

Soma Zaidi

DK.SHEIN AMEZUNGUMZA NA KATIBU WA KAMATI KUU YA UONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza kuwa Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Vietnam kutokana na mafanikio makubwa yaliopatikana nchini humo…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutua wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Uvuvi ya Sehewa ya Kampuni ya Uvuvi Zanzibar(ZAFICO) hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

DK.SHEIN AMEZINDUA BOTI MPYA YA UVUVI.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, Awamu ya Saba kwa kuzingatia kuwa bado eneo la bahari la Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania halijatumika ipasavyo katika sekta ya uvuvi imeanza jitihada…

Soma Zaidi

UZINDUZI WA BOTI YA KILIMANJARO VII.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana na wawekezaji katika kuhakikisha kunakuwa na usafiri wa uhakika wa baharini ili kuweza kufanya safari za kila siku kati ya visiwa vya…

Soma Zaidi