Habari

Miundombinu ya Elimu Zanzibar sasa yalingana na Mahitaji ya Karne ya 21

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar imepiga hatua kubwa katika kuimarisha mazingira ya kujifunzia kwa kujenga skuli za kisasa zenye…

Soma Zaidi

Zanzibar inahitaji Wawekezaji wanaowanufaisha Wananchi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inahitaji wawekezaji watakaowekeza katika miradi itakayowanufaisha wananchi…

Soma Zaidi

Ndoto ya Zanzibar ni kujitosheleza kwa uzalishaji wa kuku imetimia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar sasa imefanikiwa kujitosheleza katika uzalishaji wa kuku, hatua itakayopunguza utegemezi…

Soma Zaidi

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuimarisha Mfumo wa Kidigitali katika kudhibiti ajali na Makosa ya Barabarani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kujipanga kuimarisha matumizi ya mifumo ya kidigitali ili kudhibiti vifo vinavyotokana…

Soma Zaidi

Rais Mwinyi amefungua Flyover ya Dkt.Hussein Ali Mwinyi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewahakikishia wananchi kuwa Serikali itawalipa fidia wananchi wote waliopisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo…

Soma Zaidi