RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo amekabidhiwa rasmi Uwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) baada ya aliekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewasisitiza wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutoa…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dk. Kebwe Stephan Kebwe kufuatia ajali ya kuripuka kwa lori…
Soma ZaidiSERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zinaendelea kuchukua hatua za kisera na za kimkakati katika ujenzi wa uchumi wa viwanda ili Jamhuri ya Muungano…
Soma ZaidiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameeleza umuhimu wa kukuza uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Shirika la Umoja…
Soma ZaidiHATIMAE ahadi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliyowaahidi wananachi wa Zanzibar kuwa Serikali anayoiongoza itanunua meli mpya ya mafuta MT MKOMBOZI…
Soma ZaidiAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amefanya uteuzi wa viongozi katika taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.Walioteuliwa ni Ali…
Soma Zaidi