Dk.Shein amekutana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Brazil nchini Tanzania Antonio A.Cesar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuendeleza ushirikiano uliopo kati ya Zanzibar na Brazil kwa maslahi ya wananchi wa…

Soma Zaidi

Dk.Shein amewanasihi wafanyabiashara kuwa waadilifu na kuwafanyia wanunuzi tahafifu za bei.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein amewanasihi wafanyabiashara kuwa waadilifu katika kuwafanyia wanunuzi tahafifu za bei za bidhaa na huduma nyenginezo…

Soma Zaidi

Dk.Shein,ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya Dk.Reginald Abraham Mengi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wafanyakazi wa IPP Media kufuatia kifo cha Mwenyekiti…

Soma Zaidi

Uzinduzi wa Ofisi za SMZ Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa miongoni mwa malengo makuu ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ni kuona kwamba watumishi wa umma wanafanya…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Juma Ali Juma yaliofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Zanzibar leo.

DK.SHEIN AMEONGOZA MAZISHI YA MAREHEMU JUMA ALI JUMA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein leo ameongoza mazishi ya marehemu Juma Ali Juma yaliyofanyika Mwanakwerekwe, Wilaya ya Magharibi ‘B’, Mkoa…

Soma Zaidi

SHEREHE ZA MEI MOSI 2019 ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk. Ali Mohamed Shein kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), ambapo kwa…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwatunuku Shahada ya Uzamili ya Sanaa ya Kiswahili.

MAHAFALI YA 14 YA CHUO KIKUU CHA TAIFA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Chuo Kikuu cha Taifa (SUZA) kina dhima kubwa ya kutoa taaluma bora inayoambatana na kufanya tafiti kwa…

Soma Zaidi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashari Tanzania Profesa Palamagamba Kabudi kushoto na ujumbe wake wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu

RAIS WA ZANZIBAR AMEZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI TANZANIA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa wakati Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatimiza miaka 55 ni vyema misingi ya Muungano ikaendelezwa…

Soma Zaidi