Nichagueni tuimarishe mazingira ya kuaminiana,kuvumiliana na kushirikiana.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Ali Mohamed Shein ameahidi kuwa moja ya mambo muhimu atakayasimamia endapo atachaguliwa tena kuiongoza Zanzibar ni kuendelea kuimarisha…
Soma Zaidi