Chama cha Mapinduzi ndicho kinachothamini na kinachotekeleza malengo ya Mapinduzi ya mwaka 1964

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amehutubia mkutano mkubwa wa aina yake wa kampeni katika mji mdogo wa Nungwi katika mkoa wa Kaskazini Unguja…

Soma Zaidi

Heshimuni sheria za uchaguzi ziliopo kwa wakati wote hasa wakati huu wa Kampeni

Wananchi wa Zanzibar wametakiwa kuheshimu sheria za uchaguzi ziliopo kwa wakati wote hasa wakati huu wa Kampeni, siku ya kupiga kura, siku ya kutangaza matokeo pamoja na siku za baadae.Rais wa…

Soma Zaidi

Nichagueni tuimarishe mazingira ya kuaminiana,kuvumiliana na kushirikiana.

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk. Ali Mohamed Shein ameahidi kuwa moja ya mambo muhimu atakayasimamia endapo atachaguliwa tena kuiongoza Zanzibar ni kuendelea kuimarisha…

Soma Zaidi

Mpigia kura Dk. Ali Mohamed Shein ahadi zake zinatekelezeka

VIONGOZI wa CCM Zanzibar wamewataka wananchi na wanaCCM kumpigia kura Dk. Ali Mohamed Shein ili aendelee kuiongoza Zanzibar miaka mitano ijayo kwani ahadi zake zinatekelezeka na tayari ameshafanya…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameibomoa ngome ya CUF huko Kiungoni Pemba .

MGOMBEA nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein ameibomoa ngome ya CUF huko Kiungoni Pemba na kuvuna wanachama zaidi ya 40 huku…

Soma Zaidi

Epukeni siasa za chuki zilizoanza kurejeshwa tena na wafusi wa chama cha CUF.

VIONGOZI wa CCM Zanzibar wamewataka wananchi na wanaCCM wa kisiwa cha Pemba kuepuka siasa za chuki zilizoanza kurejeshwa tena na wafusi wa chama cha CUF licha ya kuwa tayari chama hicho kimefanya…

Soma Zaidi

Wananchi kisiwani Pemba wametakiwa kuwachagua viongozi wenye kujali maslahi yao.

Wananchi kisiwani Pemba wametakiwa kuwachagua viongozi wa CCM ambao watakaa pamoja na wao na sio wale viongozi wanaowachagua kutoka vyama vya upinzani ambao wakishapata nafasi za uongozi huwakimbia…

Soma Zaidi

.Dk. Shein kuimarisha sekta ya michezo.

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein amewahakikishia wananchi wa Zanzibar kuwa atakapoingia madarakani katika awamu…

Soma Zaidi