Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya kiislamu nchini kujipamba kwa tabia njema ili kupata fursa ya kuwa karibu na Mtume Muhammad (SAW) peponi.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya kiislamu nchini kujipamba kwa tabia njema ili kupata fursa ya kuwa karibu na Mtume…

Soma Zaidi

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi amesisitiza umuhimu wa akinamama wa kiislamu nchini kuwatii waume zao pamoja na kutekeleza haki zao

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariamu Mwinyi amesisitiza umuhimu wa akinamama wa kiislamu nchini kuwatii waume zao pamoja na kutekeleza haki zao katika mambo…

Soma Zaidi