News and Events

Dk.Hussein Mwinyi amesema Serikali ya awamu ya nane itaendelea kutunga Sera na Sheria na kubuni mipango yenye lengo la kuimarisha ustawi wa Wazee

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Awamu ya Nane itaendelea kutunga Sera na Sheria pamoja na kubuni mipango yenye lengo… Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa imeundwa kwa lengo la kuendeleza na kudumisha amani, umoja na mshikamano.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa imeundwa kwa lengo la kuendeleza na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi… Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi amewaomba wananchi wa Zanzibar wamuunge mkono katika kutekeleza azma yake ya kuiletea maendeleo Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewaomba wananchi wa Zanzibar wamuunge mkono katika kutekeleza azma yake ya kuiletea maendeleo Zanzibar sambamba na kupambana na… Read More

Dk.Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar na viongozi wake ataendelea kuiunga mkono Zanzibar

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli amewahakikishia wananchi wa Zanzibar pamoja na viongozi wake kwamba ataendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuhakikisha umoja na maelewano… Read More

Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho ya Saba ya Biashara Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho ya Saba ya Biashara Zanzibar na kuridhia ombi la wafanyabiashara la kuongezewa siku mbili zaidi.Akizungumza na uongozi… Read More