Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameufunguaMskiti wa Masjid Taqwa uliyopo Bambi Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid na Sheikh Fesal msimamizi wa ujenzi wa Msikiti huo, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa 28-5-2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu Alhaj Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria,Katiba na Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman na (kulia kwa Rais) Msimamizi wa Ujenzi wa Msikiti huo. Sheikh. Fesal na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, hafla hiyo imefanyika 28-5-2021.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wananchi wa Bambi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman na Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Alhaj Balozi Seif Ali Iddi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja baada ya kukamilika ujenzi wake na (kushoto kwa Rais)Msimamizi wa ujenzi wa msikiti huo Sheikh Fesal na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe Rashid Hadidi Rashid, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuufungua rasmin Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja baada ya kukamilika ujenzi wake na (kushoto kwa Rais)Msimamizi wa ujenzi wa msikiti huo Sheikh Fesal na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe Rashid Hadidi Rashid, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid na Sheikh Fesal msimamizi wa ujenzi wa Msikiti huo, ufunguzi huo umefanyika kabla ya Sala ya Ijumaa 28-5-2021.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa Sadc.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akielekea Nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akielekea Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkoato wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakisalimiana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,wakati akielekea Nchini Msumbuji kuhudhuria Mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Serikali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Zanzibar, akielekea Nchini Msumbiji kuhudhuria Mkoato wa SADC unaotarajiwa kufanyika kesho Jijini Maputo Msumbiji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Ujumbe wa Mabalozi kutoka Nchi za Nordic ikiwemo Denmark,Finland, Norway na Sweden.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Ujumbe wa Mabalozi kutoka Nchi za Nordic ikiwemo Denmark,Finland, Norway na Sweden walipofika Ikulu jijini Zanzibar baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo
Mabalozi kutoka Nchi za Nordic wakifuatilia kwa makini wakati wa Mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupi pichani) yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar leo(kutoka kulia) Balozi Elizabeth Jocobse Nchini Norway,Balozi Anders Sjoberg nchini Sweden,Balozi Mette Nargaard Dissing-Spandet nchini Denmark na Balozi Ritta Swan Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mabalozi kutoka Nchi za Nordic (kutoka kulia) Balozi Elizabeth Jocobse Nchini Norway, Balozi Anders Sjoberg nchini Sweden,Balozi Mette Nargaard Dissing-Spandet nchini Denmark na Balozi Ritta Swan Nchini Finland (hayupo pichani)walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezungumza na Madaktari Bingwa wa Kichina Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka China ukiongozwa na Dr.Wang Yi Ming (kulia kwa Rais) alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Madaktari hao.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Timu ya Madaktari Bingwa kutoka Nchini China wanaotowa huduma za Matibabu katika Hospitali ya Mnazi Mmoja,walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Kiongozi wa Timu ya Madaktari Bingwa kutoka China Dr.Wang Yi Ming, (kulia kwa Rais) akiwa na Madaktari hao walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Dk.Hussein Mwinyi amekutana na wawakilishi wa waathirika wa Masterlife.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyikatikati)akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika kwa mazungumzo na Mhe.Rais Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao.