Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ushiriki wa Taasisi zisizo za kiserikali katika uimarishaji wa huduma za Kijamii ni muhimu, kwa kuzingatia kuwa Serikali haina uwezo wa kuwafikia wananchi wote

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ushiriki wa Taasisi zisizo za kiserikali katika uimarishaji wa huduma za Kijamii ni muhimu, kwa kuzingatia…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema malengo ya Nchi na Jumuiya mbali mbali katika kuleta mageuzi ya kiuchumi, yanapaswa kwenda sambamba na upangaji na utekelezaji wa mipango ya kuimarisha huduma za Bima

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema malengo ya Nchi na Jumuiya mbali mbali katika kuleta mageuzi ya kiuchumi, yanapaswa kwenda sambamba na upangaji…

Soma Zaidi

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA) kujitathmin juu ya utendaji wake, kutokana na kuwepo kwa matukio kadhaa ya Wizi wa mali za Serikali.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Mamlaka ya Kuuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA) kujitathmin juu ya utendaji wake, kutokana…

Soma Zaidi

Dk. Hussein amesema kupungua na kuepusha vifo vya akinamama na watoto wachanga vitokanavyo na uzazi hapa nchini, ni ni jukumu linalohitaji ushiriki wa kila mtu.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein amesema kupungua na kuepusha vifo vya akinamama na watoto wachanga vitokanavyo na uzazi hapa nchini, ni ni jukumu linalohitaji…

Soma Zaidi

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza waumini wa Msikiti wa ‘Masjid Nabawi’ ulioko maeneo ya Mbuyu Mnene, Mkoa Mjini Magharibi kwa kuwa mfano mwema katika kushiriki masuala mbali mbali ya kijamii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza waumini wa Msikiti wa ‘Masjid Nabawi’ ulioko maeneo ya Mbuyu Mnene, Mkoa Mjini Magharibi kwa…

Soma Zaidi