Dk. Mwinyi amesema Mkopo wa Billioni 240 ni wa kujenga Skuli za Ghorofa 23 Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 240 kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

Soma Zaidi

Sera Mpya ya Mambo Ya Nje iwe Nyenzo ya kutetea Maslahi ya Tanzania Kimataifa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ya mwaka 2001, toleo jipya la mwaka 2024, ni hatua…

Soma Zaidi

CCM Itashinda Uchaguzi Kwa Kutekeleza Vema Ilani

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa kuna kila sababu ya kushinda Uchaguzi Mkuu ujao kwa kuwa Ilani ya CCM imetekelezwa kikamilifu kwa vitendo.Dkt. Mwinyi…

Soma Zaidi

Tuwaombee Mahujaji Na Kuiombea Nchi Amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaaga rasmi Mahujaji wa Zanzibar wanaotarajiwa kuelekea katika miji mitakatifu ya Makka na Madina mwaka…

Soma Zaidi