Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.Hafla ya uapisho imefanyika leo tarehe…

Soma Zaidi

Fedha zilizopo katika Akaunti Maalum ya kulipia Madeni zimefikia Dola za Kimarekani Milioni 350.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema fedha zilizopo katika Akaunti Maalum ya Kulipia Madeni zimefikia Dola za Kimarekani Milioni 350. Dkt. Mwinyi…

Soma Zaidi

SMZ imedhamiria kuboresha huduma za Afya kwa Wananchi wote

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema dhamira ya Serikali ni kuhakikisha kila Mwananchi anapata huduma bora za afya katika kila ngazi ya…

Soma Zaidi

Dkt. Mwinyi amehitimisha Kampeni za CCM Zanzibar na kuainisha Sekta 11 za Kipaumbele kwa Awamu Ijayo

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amehitimisha rasmi…

Soma Zaidi

Dkt Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi Ulinzi wa Uhakika siku ya Uchaguzi

Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi Ulinzi wa Uhakika siku ya Uchaguzi na…

Soma Zaidi