Rais Mwinyi amezindua Baraza La 11 la Wawakilishi, atoa Mwelekeo wa Serikali Kipindi cha Pili cha Awamu ya Nane

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar na kutoa mwelekeo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar…

Soma Zaidi

RAIS Mwinyi amemuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Hemed Suleiman Abdulla…

Soma Zaidi

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.Hafla ya uapisho imefanyika leo tarehe…

Soma Zaidi

Fedha zilizopo katika Akaunti Maalum ya kulipia Madeni zimefikia Dola za Kimarekani Milioni 350.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema fedha zilizopo katika Akaunti Maalum ya Kulipia Madeni zimefikia Dola za Kimarekani Milioni 350. Dkt. Mwinyi…

Soma Zaidi