Toggle navigation
Leave this field blank
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar
Mwanzo
Ofisi ya Rais
Kwa Ufupi
Rais
Marais wa Zamani
Utawala
Baraza la Mapinduzi
Uongozi Ofisi ya Rais
Habari
Habari na Matukio
Picha
Video
Video 2
Machapisho
Hotuba
Mipango ya Utekelezaji
Machapisho
Ripoti
Bajeti
Blog
Mawasiliano
Ikulu
State House Zanzibar
State House Zanzibar
Habari
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili eneo la Mwanakwerekwe katika hafla ya ufunguzi wa Barabara ya Juu (Flyover) ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi – Mwanakwerekwe, Mkoa wa Mjini Magharibi, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Habari
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa soko la kisasa la mboga mboga liliopo Mombasa Wilaya ya Magharib "A" Mkoa wa Mjini Magharib Unguja leo tarehe 4 Januari 2026
Habari
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria uzinduzi wa Soko la Kisasa la mbogamboga lililopo maeneo ya Mombasa Mkoa wa Mjini Magharibi leo tarehe 04 Januari, 2026.
Habari
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiondoa Pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Barabara ya Kitope–Ndagaa–Kidimni na kusisitiza kuwa ujenzi wa miundombinu ya barabara ni kichocheo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi nchini.
Habari
News and Events
Rais Dkt. Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Uzi Ng’ambwa pamoja na barabara zake, katika hafla iliyofanyika Uzi Ng’ambwa, Mkoa wa Kusini Unguja. Hafla hiyo ni sehemu ya shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Sema na Rais
Habari na Matukio
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuimarisha Mfumo wa Kidigitali katika kudhibiti ajali na Makosa ya Barabarani.
06 Jan 2026
by Ikulu Staff
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwasili eneo la Mwanakwerekwe katika hafla ya ufunguzi wa Barabara ya Juu (Flyover) ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi – Mwana
06 Jan 2026
by Ikulu Staff
Rais Mwinyi amefungua Flyover ya Dkt.Hussein Ali Mwinyi
06 Jan 2026
by Ikulu Staff
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa soko la kisasa la mboga mboga liliopo Mombasa Wilaya ya Magharib “B” Mkoa wa Mjini
04 Jan 2026
by Ikulu Staff
More Habari na Matukio
Video
Facebook
Machapisho
Risala ya Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe: Dk.Hussein Ali Mwinyi kuuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2026
31 Dec 2025
Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Manaibu Makatibu Wakuu
15 Dec 2025
Dk.Mwinyi amewateua Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Makatibu Wakuu
21 Nov 2025
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi katika uzinduzi wa Baraza la Kumi na Moja (11) la Wawakilishi 10 Novemba, 2025
10 Nov 2025
English
Swahili