Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar
  • Mwanzo
  • Ofisi ya Rais
    • Kwa Ufupi
    • Rais
    • Marais wa Zamani
  • Utawala
    • Baraza la Mapinduzi
    • Uongozi Ofisi ya Rais
  • Habari
    • Habari na Matukio
    • Picha
    • Video
    • Video 2
  • Machapisho
    • Hotuba
    • Mipango ya Utekelezaji
    • Machapisho
    • Ripoti
    • Bajeti
  • Blog
  • Mawasiliano
  • Ikulu
    State House Zanzibar

    State House Zanzibar

  • Habari
    News and Events

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Unguja Mheshimiwa Gallos Nyimbo mara baada ya kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika futari ya pamoja aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.

  • Habari
    News and Events

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipojumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika futari aliyoiandaa kwa ajili ya wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi.Hafla hiyo imefanyika leo tarehe 05 Machi 2026 katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdul Wakil, Kikwajuni, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.

  • Habari
    News and Events

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 5 Machi 2026, alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya KCB Tanzania, Ndg. Cosmas Kimario, pamoja na Mwenyekiti wake wa Bodi, Balozi Peter Kallaghe, wakiongozana na watendaji wa benki hiyo waliofika Ikulu, Zanzibar

  • Habari
    News and Events

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma amabae ameambatana na ujumbe wake, na ameipongeza Hospitali hiyo kwa mageuzi na mafanikio makubwa katika utoaji wa huduma za matibabu ya kibingwa kwa wananchi.

  • Habari
    News and Events

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati alipoungana na waumini katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Msikiti wa Fatma Bint Mirdas, Kilimani.

Rais

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Sema na Rais

Habari na Matukio

Dkt. Mwinyi amesema Oman ni mshirika muhimu wa maendeleo ya Zanzibar.

  • 11 Mar 2026
  • by Ikulu Staff

Dkt.Mwinyi amefutarisha Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.

  • 10 Mar 2026
  • by Ikulu Staff

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mkuu wa mkoa wa Kaskazini Unguja Mheshimiwa Gallos Nyimbo mara baada ya kujumuika na Waumini

  • 09 Mar 2026
  • by Ikulu Staff

Dkt. Mwinyi amesema Maadili ya Kiimani ni msingi wa Uongozi Bora.

  • 09 Mar 2026
  • by Ikulu Staff
More Habari na Matukio

Video

Facebook

Machapisho

  • Risala ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Al Haj Dk. Hussein Ali Mwinyi ya Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Mwaka 2026 Miladia, sawa na Mwaka 1447 Hijria.

    • 18 Feb 2026
  • HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA UFUNGUZI WA JENGO LA HUDUMA ZA MATIBABU YA DHARURA NA MAABARA KWENYE KITUO CHA AFYA MAKUNDUCHI

    • 17 Jan 2024
  • HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK. HUSSEIN ALI MWINYI, KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

    • 11 Jan 2024
  • RISALA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK HUSSEIN ALI MWINYI YA KUUAGA MWAKA 2023 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2024

    • 31 Dec 2023
  • English
  • Swahili
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar

Quick Links

  • Kwa Ufupi
  • Rais
  • Marais wa Zamani
  • Baraza la Mapinduzi
  • Uongozi Ofisi ya Rais
  • Ofisi ya Usalama wa Serikali

Sehemu za Tovuti

  • Blog
  • Habari na Matukio
  • Picha
  • Video
  • Tovuti Muhimu

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais
  • Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
  • Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi
  • Baraza la Wawakilishi
  • Mamlaka ya Kukuza Vitega Uchumi Zanzibar
  • Wazara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi

Sema na Rais App

© Hakimiliki 2026 - Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar

  • Mwanzo
  • Sera ya Faragha
  • Maulizo
  • E-Office
  • Barua Pepe