Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar
  • Mwanzo
  • Ofisi ya Rais
    • Kwa Ufupi
    • Rais
    • Marais wa Zamani
  • Utawala
    • Baraza la Mapinduzi
    • Uongozi Ofisi ya Rais
  • Habari
    • Habari na Matukio
    • Picha
    • Video
    • Video 2
  • Machapisho
    • Hotuba
    • Mipango ya Utekelezaji
    • Machapisho
    • Ripoti
    • Bajeti
  • Blog
  • Mawasiliano
  • Ikulu
    State House Zanzibar

    State House Zanzibar

  • Habari
    News and Events

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mpya, Mkaazi wa Benki ya Dunia Kanda ya Tanzania, Malawi, Zimbabwe na Zambia Bw. Firas Raad, aliyefika Ikulu, Zanzibar kujitambulisha baada ya kuchukuwa nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Nathan Belete, aliyemaliza muda wake wa kazi.

  • Habari

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 18 Mei 2026, alipokutana na aliyekuwa Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Kanda ya Tanzania, Malawi, Zimbabwe na Zambia Bw. Nathan Belete, aliyefika Ikulu, Zanzibar kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi pamoja na kumtambulisha Mkurugenzi Mpya, Bw. Firas Raad.

  • Habari
    News and Events

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizindua nyiimbo, alipojumuika na vijana wa CCM katika sherehe ya “DKT. MWINYI UVCCM USHINDI PARTY” iliyofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Vijana wa CCM Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja

  • Habari
    News and Events

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Baraza la Wazee wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi leo tarehe 16 Mei 2026, Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wakati mkutano maalum wa kutoa shukrani baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa 2026, uliofanyika Ikulu Zanzibar.

  • Habari
    News and Events

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Jumuiya ya Mawakili ya Afrika Mashariki ushirikiano wa kina katika kuimarisha utawala wa sheria na ushirikiano wa kikanda katika nchi za Afrika Mashariki alipokutana nao Ikulu Zanzibar.

Rais

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Sema na Rais

Habari na Matukio

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mpya, Mkaazi wa Benki ya Dunia Kanda ya Tanzania, Malawi, Zimbabwe na Zambia Bw. Firas Raad

  • 18 May 2026
  • by Ikulu Staff

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 18 Mei 2026, alipokutana na aliyekuwa Mkurugenzi Mkaazi wa Benki ya Dunia Kanda ya Tanzania,

  • 18 May 2026
  • by Ikulu Staff

Rais Dkt. Mwinyi ameipongeza Benki ya Dunia kwa Mchango wa Maendeleo Zanzibar.

  • 18 May 2026
  • by Ikulu Staff

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameupongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi nzuri na ya kujitolea waliyoifanya wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025

  • 16 May 2026
  • by Ikulu Staff
More Habari na Matukio

Video

Facebook

Machapisho

  • Hotuba ya Waziri wa Nchi Afisi ya Rais - Ikulu   Mheshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum (MBM) kuhusu makadirio ya mapato na matumizi   kwa mwaka wa Fedha 2026/2027.

    • 08 May 2026
  • Hotuba ya Waziri wa Nchi Afisi ya Rais - Ikulu   Mheshimiwa Dkt. Saada Mkuya Salum (MBM) makadirio ya mapato na matumizi mwaka wa Fedha 2026/2027.

    • 08 May 2026
  • Risala ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Al Haj Dk. Hussein Ali Mwinyi ya Kuukaribisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa Mwaka 2026 Miladia, sawa na Mwaka 1447 Hijria.

    • 18 Feb 2026
  • HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA DK. HUSSEIN ALI MWINYI KATIKA UFUNGUZI WA JENGO LA HUDUMA ZA MATIBABU YA DHARURA NA MAABARA KWENYE KITUO CHA AFYA MAKUNDUCHI

    • 17 Jan 2024
  • English
  • Swahili
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar

Quick Links

  • Kwa Ufupi
  • Rais
  • Marais wa Zamani
  • Baraza la Mapinduzi
  • Uongozi Ofisi ya Rais
  • Ofisi ya Usalama wa Serikali

Sehemu za Tovuti

  • Blog
  • Habari na Matukio
  • Picha
  • Video
  • Tovuti Muhimu

Tovuti Muhimu

  • Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais
  • Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais
  • Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi
  • Baraza la Wawakilishi
  • Mamlaka ya Kukuza Vitega Uchumi Zanzibar
  • Wazara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi

Sema na Rais App

© Hakimiliki 2026 - Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Zanzibar

  • Mwanzo
  • Sera ya Faragha
  • Maulizo
  • E-Office
  • Barua Pepe