Japan kuendelea kuiiunga mkono Tanzania katika kuimarisha miradi mbali mbali ya maendeleo,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza haja ya kuimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Japan hasa kwa kutambua hatua…

Soma Zaidi

Jaji Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akimuapisha Dk.Shein kuwa mjumbe wa Baraza la mawaziri

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiapishwa na jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mohammed Chande Othman kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Jamuhuri…

Soma Zaidi

Wafanyakazi msigeuze sehemu za kazi kuwa majukwaa ya siasa.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wafanyakazi nchini kutozigeuza sehemu za kazi kuwa majukwaa ya kisiasa badala yake kufanya kazi kwa bidii…

Soma Zaidi

Viongozi walioteuliwa na Dk. Shein waapishwa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amewapisha viongozi mbali mbali kushika nyadhifa katika taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Walioapishwa…

Soma Zaidi

Dk.Shein ameteua viongozi katika Taasisi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa viongozi katika Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kama ifuatavyo:-…

Soma Zaidi

Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema Peponi Marehemu Abdalla Mohamed Mshindo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpinduzipia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akijumuika na Viongizi na Waislamu katika kumswalia aliyekuwa Mwenyekiti wa…

Soma Zaidi

Dhamira yetu kuona watumishi wanapata maslahi bora kumudu gharama za maisha

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema dhamira ya Serikali ni kuona watumishi wake wanapata maslahi mazuri zaidi ili kumudu gharama za maisha.Hata…

Soma Zaidi

Wananchi walioathirika na mvua za masika wamehakikishiwa hakuna atakae kaa na njaa .

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar itahakikisha inawapelekea huduma zote muhimu wananchi waliaothirika na mvua za masika na hakuna hata mwananchi mmoja miongoni mwao atakae kaa na njaa kwa kukosa…

Soma Zaidi