Dkt. Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaimarisha Viwanja vya Michezo kukidhi viwango vya Kimataifa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inalenga kuviimarisha viwanja vya michezo nchini ili viwe bora na kukidhi viwango vya kimataifa.Amesema…
Soma Zaidi