Wawekezaji wa sekta ya utalii kutoka nchini Saud Arabia wamekaribishwa kuja kuekeza Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amewakaribisha wawekezaji wa sekta ya utalii kutoka nchini Saud Arabia kuja kuekeza Zanzibar kutokana na fursa zilizopo…

Soma Zaidi

Wageni kutoka Serikali ya Oman wamekongwa nyoyo na Kikundi cha Taifa

KIKUNDI cha Taarab cha Taifa kimekonga nyoyo za hadhira iliyohudhuria katika hafla ya Chakula maalum cha usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali…

Soma Zaidi

Dk. Shein ameipongeza Serikali ya Oman chini ya uongozi wa Sultan Qaboos bin Said

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein ameipongeza Serikali ya Oman chini ya uongozi wa Sultan Qaboos bin Said kwa kuendeleza uhusiano na ushirikiano…

Soma Zaidi

KUFUTA UTEUZI

Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu Namba 53 cha Katibaya Zanzibar ya 1984 na Kifungu 12(3) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Namba 2 ya mwaka 2011,

Soma Zaidi

Ufunguzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani, yaliofanyika huko Kizimbani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa katika kipindi cha hivi karibuni dhamira njema ya kuwapa eka tatu wananchi kwa ajili ya kilimo…

Soma Zaidi

Dk.Shein ametuma pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Uganda,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kwa kutimiza miaka…

Soma Zaidi

Kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Bububu-Kinyasini hadi Mkokotoni hivi karibuni

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar hivi sasa imo katika hatua za kuendelea kukamilisha taratibu zilizobaki ili kuanza ujenzi wa barabara ya Bububu-Kinyasini hadi Mkokotoni, ujenzi ambao unatarajiwa…

Soma Zaidi

Ufunguzi wa Msikiti Saeed Al Bawardy uliopo Bandamaji, Jimbo la Chaani,

WAUMINI wa dini ya Kiislamu hapa nchini wametakiwa kujiepusha na mizozo isiyo na tija katika misikiti pamoja na katika jamii wanamoishi.

Soma Zaidi